Glorypascal (glorypascal)

Glorypascal

Swahili crypto translator, crypto analyst, UI/UX design, crypto degen

1 Followers

Recent casts

It's happening today 10days onchain design sprint 🔥🔥🔥

  • 0 replies
  • 0 recasts
  • 0 reactions

⚠️Kwanini unapaswa Kuwekeza Badala Ya Kuweka Akiba Tu ??? sababu ni hii.... Kuweka AKIBA tu maana yake ni kuiacha pesa yako ilale. Inakaa tu. Haisaidii. Haifanyi kazi yoyote Na cha kusikitisha zaidi, mfumuko wa bei unaila taratibu. Lakini... KUWEKEZA maana yake ni kuipeleka pesa yako kazini. Inaamka. Inazalisha. Inafanya kazi usiku na mchana — na inaanza kukuandalia maisha ya ndoto zako. Sasa jiulize: Unataka pesa yako ilale kwenye akaunti isiyo na faida? Au unataka iende ikapambane sokoni, ikuzalie faida kila siku? Kwa sababu ukweli ni huu: Ukiishia kuweka akiba Tu Pesa hubaki pale pale. Lakini.. Ukiwekeza Pesa Zako Zinaanza kuzaliana Kwahiyo Chaguo ni lako. Uendele kuweka Akiba au uanze Kuwekeza

  • 0 replies
  • 0 recasts
  • 0 reactions

_Tofauti ya 'Being Rich' na 'Being Wealthy' — Na Unapaswa Kutafuta Kipi?_ Watu wengi huchanganya maana ya kuwa rich na wealthy, lakini hizi ni vitu tofauti kabisa. Rich ni mtu anayekuwa na pesa nyingi kwa sasa, lakini anaweza kutumia pesa zote haraka bila akiba au uwekezaji wa kweli. Hali yake inaweza kuwa ya muda mfupi. Wealthy ni mtu aliyejenga mfumo wa kupata pesa endelevu, anayeweza kupata faida bila kuhitaji kufanya kazi kila wakati. Ana mali, akiba, na uwekezaji unaomlinda hata wakati mgumu. _Swali lako ni: Unataka kuwa rich au wealthy_ ? Kuwa rich ni kama kufurahia chakula kizuri mara moja, lakini kuwa wealthy ni kama kuwa na mlo wa kila siku, siku zote. Katika safari ya fedha, lengo lako liwe kujenga wealth - akiba, mali, na mapato ya passive (kama Gawio kutoka kwenye kampuni). Hii ndio njia ya kweli ya uhuru wa kifedha. Usikimbilie pesa za haraka, badala yake jifunze jinsi ya kuijenga kwa ustadi!

  • 0 replies
  • 0 recasts
  • 0 reactions

Top casts

recast:farcaster://casts/0x926cf9815987e02c1940627ceea73ab74709a3db93b06fecf6f5ad9f7f576ecc

  • 0 replies
  • 0 recasts
  • 0 reactions

RULES FOR GROWTH FOR EVERYONE 1. Never stop learning – read books, seek mentors, and embrace growth. 2. Choose your circle wisely – the people around you shape your mindset. 3. Take responsibility – your life is your responsibility, no excuses. 4. Be adaptable – change is inevitable; learn to pivot and thrive. 5. Invest in yourself – skills, knowledge, and confidence pay the highest returns.

  • 0 replies
  • 0 recasts
  • 0 reactions

🚨To All My Crypto Warriors🚨 I know the recent black swan dump and Massive liquidations have shaken many of us. It’s tough watching the markets bleed, and it’s easy to feel like all hope is lost. But let me remind you—this isn’t the first time we’ve seen chaos in the crypto world, and it won’t be the last. Everyone has lost Money. Who say otherwise are acting oversmart & simply lying. History doesn’t repeat, but it often rhymes. Every major dip has paved the way for even bigger comebacks. Think about the crashes in 2017, 2020, and countless others. Each time, those who held strong came out wealthier and wiser. This is the time to hold onto your blue-chip and fundamentally strong spot coins. The market may be down, but the technology, adoption, and innovation are only growing stronger. Fear is temporary, but regret lasts forever. Stay calm. Stay patient. Stay bullish. The storm will pass, and when it does, those who held their ground will be the ones reaping the rewards.

  • 0 replies
  • 0 recasts
  • 0 reactions

I just completed "Introduction to WalletConnect" on Layer3 - https://app.layer3.xyz/quests/introduction-to-walletconnect

  • 0 replies
  • 0 recasts
  • 0 reactions

Onchain profile

Ethereum addresses